Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Dini
  • Siri ya malango yasiyoonekana

Siri ya malango yasiyoonekana

TZS 7,000
Add to cart  

Je, umewahi kusikia kuhusu habari za mbinguni na jehanamu? Baada ya kusikia ulichukua hatua Gani? Unajua ni kwanini upo duniani? Unaamini kuwa baada ya haya maisha Kuna maisha mengine.

Nadharia nyingi zimetoka kuhusu habari za mbinguni na jehanamu, pengine zimekufanya ushindwe kuelewa uhalisia wa hizo sehemu kama zinaukweli ndani yake lakini kupitia hiki kitabu kitakwenda kukupa majibu yatakayokuondoa kwenye maswali mengi uliyonayo na zaidi yatakuandaa kwajili ya ufalme wa Mungu.

Ni shauku yangu kubwa kuona ukielewa uhalisia wa mambo haya na baada ya hapo uchukue hatua itakayoambatana na kujiandaa kwajili ya ufalme wa Mungu. Neema ya Mungu ituokoayo , ikutawale na karibu ujifunze na Mungu akusaidie uushinde ulimwengu.

Zaidi ya yote tunashinda na zaidi za kushinda kwayeye aliyetupenda. Nakutakia usomaji mwema.


Recommended for you

Siri Iliyojificha Juu ya Uzinzi na Uasherati
Siri Iliyojificha Juu ya Uzinzi na Uasherati
TZS 5,000
Add to cart

Cart

Cart is empty.

Log in




Forgot password?
Create account
Login to existing account
My orders
My reviews
My details
Log out
  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2018 - 2025. All rights reserved.