Siri ya Kusamehe na Kuachilia
Kitabu hiki kinaeleza kwa undani umuhimu wa kusamehe na kuachilia mtu yeyote aliyekukosea au jambo lolote lililoondoa amani moyoni mwako.
Ni kitabu kizuri sana ambacho Roho Mtakatifu amekusudia kuleta uponyaji na matengenezo kwa mtu mmoja mmoja, kanisa na jamii kwa ujumla.
Others Also Bought
Nguvu ya Urafiki
Chozi la Mama
TZS 5,000