UFANYE NINI UNAPOPATWA NA MAGUMU?
Maisha hayana budi kuja na changamoto, lakini mtoto wa Mungu anayo ahadi ya kuwa hatupiti peke yetu. Katika kitabu hiki cha kiroho cha kina, utajifunza jinsi ya kutambua chanzo cha magumu yako, kuyakabiliana kwa hekima, na kutoka kwa haraka kwa ushindi wa kweli bila kupoteza imani. Kupitia maandiko ya Biblia na mifano halisi, kitabu hiki kinakupeleka kwenye safari ya kutafsiri magumu yako na kupata maarifa kwa mwanga wa Neno la Mungu na nguvu ya Yesu Kristo.
Hiki si kitabu cha kukufundisha tu, bali ni mwongozo wa safari ya kiroho. Ni mwaliko wa kumruhusu Yesu Kristo ashike mkono wako unapopitia bonde la majaribu, na ni wito wa kugundua kwamba magumu yako hayana budi kuwa mlango wa ushindi wako wa baadaye
“Siku ya kufanikiwa ufurahi, Na siku ya mabaya ufikiri. Mungu ameifanya hiyo moja kwenda sambamba na hiyo ya pili” – Mhubiri 7:14.
Others Also Bought


