UJUZI KATIKA MAOMBI: Mwongozo wa aina 250 za maombi ya kufungua maisha yako
Mambo muhimu katika kitàbu ni
- Safari ya maombi ni mlango wa kuingia katika uwepo wa Mungu,hii ni njia ambayo inamwezesha mwanadamu kuingia katika mawasiliano ya moyo kwa moyo na ukuu wa milele. Katika safari hii, roho ya mtu hugusana na Roho wa Mungu, ikimjengea mtu mazoea au uzoefu wa kutembea si kwa kuona bali kwa imani waebrania 11:6.
- Jinsi ya kushughurikia hatima yako kwa njia ya maombi ya kifalme
- Tabia na miiko ya mwana maombi mwenye matokeo CHANYA
- Maombi na neno la Mungu,kuomba kwa kutumia MAANDIKO
- Maombi na maisha ya kifedha ,kutambua dhoruba za kiroho katika UCHUMI
- Ramani ya maombi ya siku 30
- Mwongozo wa aina 250 za maombi yanayogusa Kila eneo la maisha yako.Haya ni maombi ya ndani sana, ambayo kila aliyeyaomba milango ya maisha yake ilifunguka kwa namna ya kushangaza.
Haya ni baadhi ya mambo yaliyosheni ndani ya kitàbu hiki cha miujiza kupita kawaida. Sasa ni zamu yako LIPIA upate nakala yako Sasa KARIBU SANA.
Others Also Bought
Jifunze kudumu katika maombi
7,000 TZS
Maarifa juu ya maombi unayotakiwa kuomba
5,000 TZS
Maombi ya Kushinda vita ya Kiroho
7,000 TZS
Maombi Yaletato Mpenyo
10,000 TZS