Utakatifu
- Hivi Hivi unajua hakuna kitu ambacho Mungu anafurahia kUona kwa mwanadamu aliyemuumba kwa mfano wake isipokUwa UTAKATIFU?
- Je, unajua kwamba hakuna kitu kitakachofanya mwanadamu awe na uzima wa milele na milele isipokuwa UTAKATIFU?
- Je, unafahamu kwamba hakuna mwanadamu ambaye atakuja kufanikiwa kumwona Mungu bila kuishi kwa UTAKATIFU?
- Pia unafahamu kwamba mtu hawezi kuwa Mtakatifu bila kupata mafundisho au neno la UTAKATIFU?
- Hivi unajua mafanikio tunayoyapata Duniani ni ya muda kitambo tu? Yesu alisema itamfaidi nini mtu akipata ulimwengu wote akapata hasara ya nafsi yake?
- Ndio maana hata wale wenye uhai wane hawapumziki usiku na mchana wakisema MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU (Ufunuo 4:8) Hivyo kitabu hiki ni ufunquo wa kuishi maisha ya UTAKATIFU.
Others Also Bought
Tamaa na Shauku
Mduara wa dhambi
How To Sell Your Soul To Satan
TZS 7,777
Kusifu na Kuabudu
TZS 5,000