Ishi kwa Malengo
Kitabu cha “ishi kwa malengo” ni kitabu cha hadithi fupi fupi ambazo zina lenga kufikisha ujumbe kwa jamii unaozungumzia kuwepo maadili mema kwa watoto,wanawake,wanaume maadili yanayo lenga mafanikio kiuchumi, mahusiano mema miongoni mwa wanajamii, kupendana, kuaminiana, kukosoana kwa maana ya kuweka msisitizo wa uwajibikaji, lakini kuburudisha, kukuza stadi za lugha ambazo ni kusoma kuandika kuzungumza, maarifa na ujuzi wa kudumu katika lugha hii.
Others Also Bought

Safari yenye Dhoruba

Chozi
TZS 6,999