Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Fasihi
  • Jipu ndani ya ubongo - Simulizi ya kweli

Jipu ndani ya ubongo - Simulizi ya kweli

TZS 15,000
Add to cart  

Naanza kuumwa nikidhani ni ugonjwa wa kawaida. Hospitali pia natibiwa magonjwa ya kawaida; Malaria, homa ya tumbo na maambukizi ya bakteria. Wiki tatu zinapita, nazidi kuumwa, kichwa, kutapika na mwili kuisha nguvu. Najaribu hospitali nyingine na kugundulika kuwa nina uvimbe. Ndio, uvimbe kwenye ubongo. Nauita JIPU, kwani umeshikamana na ubongo kama doa lilivyo kwenye nguo. Natakiwa kufanyiwa upasuaji wa haraka vinginevyo nitakufa ghafla. Daktari anamwambia mume wangu akubaliane na hatari iliyoko mbele yangu ya kupoteza kuona, kupooza, kupoteza kumbukumbu au kufa baada ya upasuaji. Godfrey, mume wangu, analazimika kufanya maamuzi yenye hatari kubwa kwa maisha yangu.

Nafsini namuamini Mungu kuwa HAKUNA KITAKACHOPUNGUA, HAKUNA KITAKACHOVUNJIKA.

Hii siyo hadithi, ni simulizi la kweli. Leo ni mwaka mmoja umepita, na mimi mwenyewe nimeandika kitabu hiki, kuelezea ukuu wa Mungu awezaye kufufua hata waliokufa, jinsi alivyotenda kwangu.


Recommended for you

Mheshimiwa the Don
Mheshimiwa the Don
TZS 10,000
Add to cart
Elizabeth Naturu
Elizabeth Naturu
TZS 3,700
Add to cart

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.