Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
Madhila
Madhila ya ulimwengu huu hayatokuacha, yatakuja na kuondoka, kitu kinachohuzunisha sana ni mtoto pale anapojiona yupo katika kituo cha kulelea watoto yatima. Hapo anakuwa yupo njia panda, hajui kama yeye ni yatima au wazazi wake wapo hai. Nini kilitokea hadi kuwa hapo kwenye kituo cha watoto yatima. Akiona wenzake shuleni wanataja baba, mama, dada au kaka. Hiyo inakuwa inampa maumivu makali ndani ya moyo wake.