Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • Sign in
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Afya na ustawi
    • Dini
    • Fasihi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Maendeleo binafsi
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Health and wellness
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Books
  • Swahili books
  • Fasihi
  • Sio Sababu ya Kuvunja

Sio Sababu ya Kuvunja

  13,999.00 TZS
Add to cart
Downloadable file How to buy

Sio Sababu ya Kuvunja ni kitabu kinacho husu Sheria,Jamii na Maisha.

Kutojua sheria sio sababu ya kuvunja sheria. Hii ni kanuni muhimu katika mfumo wa sheria, ambapo mtu hawezi kuvunja sheria kisha akajitetea kuwa hakufahamu kuwa kitendo alichokifanya ni kinyume na sheria.

Mzee Majanida, akiwa miongoni mwa wazee wa chama cha siasa katika mji wa Kilongelea, anapanga mipango yeye pamoja na wazee wenzake kuhakikisha Mheshimiwa Kipaumbele anapata nafasi ya kuliongoza jimbo la Kilongelea kwa mara nyingine. Mipango ya wazee wa chama hiki ilipelekea uvunjifu wa haki na sheria katika uchaguzi wa wabunge katika nchi ile. Vilevile, ilipelekea vifo vya watu wasio na hatia katika mji ule.


Others Also Bought

Fungate
Fungate
10,000.00 TZS
Choba
Choba
15,000.00 TZS

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Blog
  • Support
  • Sign in
DL Bookstore © 2026. All rights reserved | Made with ❤️ in Tanzania.