Aleji ya Chakula na Kutostahimili Chakula
Kumekuwa na ongezeko la miitikio hasi ya chakula, mara nyingi miitikio hii imekuwa ikiitwa ‘aleji’, lakini si kila mwitikio hasi ni aleji.
Kitabu hiki kinaeleza kwa kutumia lugha rahisi, maana ya kila aina, utofauti uliopo kati ya kila aina husika, njia za kuweza kujikinga na vyakula mbadala kwa vyakula vinavyoweza kuchochea kutokea kwa changamoto hizo na mwisho ni namna miitikio hasi ya chakula hutibiwa.
Others Also Bought
SEXUS: Siri za Ngono Tamu
Mtu wa tofauti
TZS 20,000
Barua ya Siri kwa Wanandoa Wote
Naandikaje kitabu?