Kaida Za Mifumo; Stadi za Kahiri Zinazounda Jamii na Maisha
Kwa mifano halisi, tafakuri, uchambuzi wa kina, utajifunza jinsi mifumo hujengwa, hujilinda, hubadilika, na kuathiri tabia za watu na maendeleo ya jamii.
Kitabu hiki ni darubini muhimu kwa viongozi, wanafunzi, watafiti, wajasiriamali, na yeyote anayetaka kuboresha uwezo wa kufikiri kimfumo, kutatua matatizo kwa ufanisi, na kusawiri mifumo yenye matokeo bora kwa ustawi wa jamii.
Others Also Bought
Mimi Ashraf
3,000.00 TZS