Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Maendeleo binafsi
  • Kuishi kama Tai

Kuishi kama Tai

TZS 7,000

Paperback eBook
Add to cart  

Tai ni alama na picha ya ushujaa, ujasiri, kuwa na maono na kuwa mpambanaji. Ni alama ya mtu mwenye nguvu na maisha ya ushindi. Tai anaheshimika na kusi­ka kwa ­kra zake na mtazamo wake, unaomtofautisha na ndege wengine wote na kumfanya kuwa ni Mfalme wa Anga. Mambo makuu tunayojifunza kutoka kwa tai ni pamoja na uwezo wake wa kuona mbali, kukabili dhoruba, kulenga jambo, kuyakabili mabadiliko, kufanya mahusiano, kujihuisha upya mwenyewe na nidhamu yake binafsi.

Ikiwa unataka kuwa mtu wa tofauti basi kitabu hiki kitakusaidia kukupa hamasa ya kubadilisha ­kra zako na kwa kuzifuata kanauni za maisha ya tai unaweza kuwa mtu mkuu na wa kipekee. Mambo makuu saba utayojifunza katika kitabu hiki kutoka katika maisha ya tai, ni rahisi na tena yanatekelezeka katika maisha yetu ya kila siku katika kuongoza kwetu.

Mungu akubariki unapo soma kitabu hiki


Recommended for you

7 powers of the Mind - Nguvu 7 za Akili
7 powers of the Mind - Nguvu 7 za Akili
TZS 6,999
View options
Umezaliwa kufanikiwa
Umezaliwa kufanikiwa
TZS 10,000
View options

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.