Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Maendeleo binafsi
  • Umezaliwa kufanikiwa

Umezaliwa kufanikiwa

TZS 10,000

Paperback eBook
Add to cart  

Sayansi ya Mafanikio inathibitisha kuwa kila mtu mwenye uhai duniani ana haki na nyenzo zote za kufanikisha malengo yake makubwa, mahali popote alipo na kwa wakati wowote kama akiamua.

Watu wengi wasiofanikiwa huwa wanafikiri kuwa wao hawana haki yakufanikiwa, ila ukweli ni kuwa hakuna mtu aliyeumbwa ili asifanikiwe na ndio maana kila mtu ana uwezo wa kipekee kabisa ambao ndio nyenzo ya mtu kufikia Mafanikio yake makubwa.

Swala kubwa huwa linabaki katika matumizi ya uwezo, nafasi na muda ambao mtu amepewa. Katika kitabu hiki utajifunza mambo kadhaa ikiwemo: Kwanini ni haki Yako kufanikiwa?

Sheria, Tabia na mbinu ziletazo Mafanikio. Namna bora ya kuanzisha na kukuza biashara kwa Mafanikio. Njia za kukabiliana na vikwazo vinavyokuzuia kufanikiwa. Falsafa na Hekima zitakazokufanya ufanikiwe kwa haraka zaidi n.k.

Leo ukijaribu kujichunguza vizuri utagundua kuwa unasababu zote za kufanikiwa kwa namna Yako ya kipekee sana na kama bado hujafanikiwa ni kwasababu bado hujatumia uwezo wako na rasilimali ambazo ziko kwako peke yako.


Recommended for you

Usijizuie kufanikiwa
Usijizuie kufanikiwa
TZS 10,000
View options
Mwongozo katika mafanikio
Mwongozo katika mafanikio
TZS 10,000
View options
Hujachelewa kufanikiwa
Hujachelewa kufanikiwa
TZS 10,000
View options

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.