Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Maendeleo binafsi
  • Kwa nini upo ulipo sasa?

Kwa nini upo ulipo sasa?

TZS 5,000

Paperback eBook
Add to cart  

Tupo katika karne ya 21 ambapo mambo yamekuwa yakienda kwa kasi katika nyanja zote za kidini, kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni. Na hii ni kwasababu ya mapinduzi  na maendeleo ya ki-digitali (teknologia) kuzidi Zaidi katika karne hii. Na kupelekea watu kuwa na maswali mengi juu ya watu wanaowazunguka, hali wanazokumbana nazo na mazingira yanayowazunguka na kukosa majibu sahihi ya maswali yao.

Ni maamuzi sahihi pekee kwa wakati na majira sahihi ndiyo yatakayo kuongoza katika kuvuka na kufanikiwa katika nyanja zote ambazo kama mwanadamu unaishi ili kutimiza makusudi ambayo Mungu amekuweka hapa duniani. Moja kati ya maamuzi sahihi ni kuchukua hatua ya kupata nakala ya kitabu hiki na kusoma kwa kutafakari, Nina hakika utapata misingi ya  kuanzia na hatua za kuchukua kuanza kutembea na kusonga mbele katika kuifikia hatima ya maisha yako kwa utukufu ukiwa hapa duniani.


Recommended for you

Mwingine sio wewe
Mwingine sio wewe
TZS 5,000
View options
Chochea Kipaji Chako
Chochea Kipaji Chako
TZS 5,000 TZS 4,500
View options
Ukweli wa Maisha
Ukweli wa Maisha
TZS 10,000
View options

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.