Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Books
  • Swahili books
  • Maendeleo binafsi
  • Misingi 10 ya Mafanikio Yako

Misingi 10 ya Mafanikio Yako

  2,999 TZS
Add to cart  

Watu wengi hufikiri kuwa mafanikio yanakuja kama bahati au yapo kwaajili ya watu fulani fulani tu, na  wengine hufikiri kwamba mafanikio ni kama bahati nasibu. Mtazamo ambao umepelekea watu wengi sana kuchelewesha mafanikio yao au kuua ndoto zao kabisa. Kwa sababu hiyo kitabu hiki kinalenga kukusaidia wewe usiwe miongoni mwao kwakukusaidia kuona Mambo 10 muhimu ya kuzingatia ili kuijenga vizuri safari yako ya kufanikiwa ya kimaisha

Safari ya mafanikio yako inahitaji mwongozo na misingi imara ili kuepeuka vikwazo na kufikia mafanikio ambayo ni endelevu na ya kudumu ili yafike kizazi hadi kizazi

Kitabu hiki kimeandikwa ili kukuwezesha kupata muelekeo mzuri unaokupa hatua za vitendo na maarifa ya kina kutoka kwa watu waliofanikiwa duniani

Watu wengi wana dhana kwamba mafanikio ni kuwa na pesa nyingi , magari ya kifahari na vitu kama hivyo ambapo huu unaitwa utajiri

Utajiri na mafanikio endelevu ni vitu tofauti. kupitia kitabu hiki utaweza kutofautisha dhana hizi mbili kati ya rich (tajiri) na success  (mafanikio)

Mafanikio yapo katika nyanja mbalimbali za maisha kama vile uchumi, elimu,  afya na mahusiano  n.k  kwa kuelewa misingi hii unapata maarifa yanayokuongoza wewe msomaji kufikia mafanikio yako


Others Also Bought

Deni la dhababu
Deni la dhababu
20,000 TZS
Ijue Biashara kwa Kina
Ijue Biashara kwa Kina
7,000 TZS 4,000 TZS
Tumia Fursa Tengeneza Biashara
Tumia Fursa Tengeneza Biashara
6,000 TZS 4,999 TZS
Jikomboe kiuchumi na ujasiriamali
Jikomboe kiuchumi na ujasiriamali
6,500 TZS
Mfuko wa dharura
Mfuko wa dharura
15,000 TZS
Ijue Elimu ya Fedha
Ijue Elimu ya Fedha
10,000 TZS 5,000 TZS
Elimu Ya Uwekezaji
Elimu Ya Uwekezaji
12,000 TZS 5,000 TZS

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Blog
  • Support
DL Bookstore © 2026. All rights reserved. | login