Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Learn
  • Affiliates
  • Blog
  • Support
  • Log in
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Afya na ustawi
    • Dini
    • Fasihi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Maendeleo binafsi
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
    • Wasifu na Tawasifu
  • English books
    • Business and finance
    • Health and wellness
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Free books
  • Free previews
  • Books
  • Swahili books
  • Uchumi na biashara
  • Ijue Biashara kwa Kina

-42%

Ijue Biashara kwa Kina

7,000.00 TZS  4,000.00 TZS
()
30-day lowest price:
Add to cart
Downloadable file How to buy

Kitabu hiki "IJUE BIASHARA KWA KINA" mwandishi amekiandika kwa lengo la kufundisha jamii ili kuepukana na changamoto sugu ambazo watu wamekuwa wakikutana nazo katika sekta ya biashara na kuwapelekea wengi biashara zao kudumaa na biashara zingine kufa kabisa .

Kwa hiyo Kitabu hiki kimejikita sana kuelezea vitu vya muhimu kwenye biashara kama vile;-

  1. Maana ya Biashara. Hapa utaelewa nini maana ya neno Biashara. Kwa sababu watu wengi wanaelewa Tu kwamba biashara ni kununua na kuuza kitu ...Nadharia ambayo sio kweli kabisa. Biashara ni kitu kipana sana ,, inahitaji kujifunza Muda wote.

  2. Aina za Biashara. Katika kipengele Hiki utajifunza Aina mbalimbali za Biashara,ili uelewe ni biashara ipi inayokufaa na unayoiweza wewe ili uweze kuanzisha na baada ya muda ifanikiwe.

  3. Mtaji wa biashara. Hapa utaelewa vizuri NI njia zipi uzitumie ili upate mtaji Kwa urahisi

  4. Maswali ya kujiuliza kabla ya kuanzisha biashara.

  5. Mpango wa biashara n.k

Usomapo Hiki kitabu, hautabaki kama ulivyo.


Others Also Bought

Tumia Fursa Tengeneza Biashara
Tumia Fursa Tengeneza Biashara
6,000.00 TZS 1,500.00 TZS
Add to cart
Jikomboe kiuchumi na ujasiriamali
Jikomboe kiuchumi na ujasiriamali
6,500.00 TZS
Add to cart
Elimu Ya Uwekezaji
Elimu Ya Uwekezaji
12,000.00 TZS 5,000.00 TZS
Add to cart
Njia za kukustawisha kiuchumi
Njia za kukustawisha kiuchumi
5,000.00 TZS
Add to cart
Mpenyo - Nidhamu ya fedha
Mpenyo - Nidhamu ya fedha
10,000.00 TZS
Add to cart

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • Privacy policy
  • Return policy
  • Cookies policy
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Affiliates
  • Blog
  • Support
DL Bookstore © 2026. All rights reserved | Made with ❤️ in Tanzania.