Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Maendeleo binafsi
  • Mtu wa Thamani

Mtu wa Thamani

TZS 10,000  TZS 5,000

Paperback eBook
Add to cart  

Katika jamii zetu, tunakutana na watu wa aina mbalimbali,

lakini kuna wale ambao kwa kweli wanashikilia nafasi maalum kwa sababu ya thamani yao isiyo ya kawaida.

Mtu wa thamani si tu yule ambaye ana mali au cheo pekee bali yule ambaye ana athari chanya na za kudumu katika maisha ya wengine.

Katika kitabu hiki, utagundua  maana ya mtu wa thamani, sifa zake kuu, na mchango wake katika jamii.

Mtu wa thamani ni yule ambaye ana sifa ambazo zinamfanya kuwa tofauti na wengine.

Thamani yako haipimwi kwa mali au hadhi pekee, bali kwa tabia, uwezo, mchango, na athari unayotoa kwa wengine.

Mtu wa thamani anaweza kuwa MTU yeyote ambaye ameacha alama kubwa kwa njia ya kipekee sana katika kile anachokifanya.

Kwa nini usome kitabu cha MTU wa Thamani :

Kitabu hiki kinakupa mbinu za kutambua thamani yako binafsi na jinsi ya kuitumia katika nyanja zote za maisha yako, iwe ni katika kazi, uhusiano, au malengo binafsi.

mafunzo yanayopatikana kutoka kwa watu wenye mafanikio na maisha yenye furaha, ambayo yatakusaidia kutengeneza mabadiliko ya kudumu katika maisha yako,
Nguvu ya Kujitambua: Kupitia vitendo na mbinu za kujiimarisha, kitabu hiki kinakusaidia kujenga imani na kujitambua zaidi, na hivyo kukupeleka hatua  zenye mafanikio zaidi  katika safari yako ya maisha.

TAFUTA KUWA MTU  WA THAMANI.


Recommended for you

Yusufu nina ndoto
Yusufu nina ndoto
TZS 10,000
View options
Mtu wa tofauti
Mtu wa tofauti
TZS 20,000
View options
Mipango (Plans)
Mipango (Plans)
TZS 8,000
View options

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.