Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Maendeleo binafsi
  • Mwongozo Halisi wa Mabadiliko Chanya

Mwongozo Halisi wa Mabadiliko Chanya

TZS 5,000

Paperback eBook
Add to cart  

Kitabu hiki mwongozo halisi na madhubuti kwa mtu yeyote mwenye shauku ya kuona maisha yake yanabadilika katika hali chanya.

Zipo kanuni , mbinu muhimu, misingi na hatua za kuzingatia, vitu vya kufanya na vya kuacha vingine vya kupunguza ili uone maisha yako katika huu mwaka yanabadilika jumla katika hali chanya na uwe na uhakika wa kesho njema.

Mabadiliko chanya yana mkondo wake maalumu kwa mtu aliyetayari na mwenye kiu na anauwezo wa kulipia gharama zinazotakiwa Kuwa na mabadiliko chanya iwe katika ukuaji chanya katika Roho, Ujenzi wa fikra chanya na Kuwa na mabadiliko chanya katika mwili na mambo mengine kiuchumi n.k

Changamoto ni kwamba watu wengi wanapenda kuona Maisha yao yawe na mabadiliko chanya lakini hawapo tayari kulipa gharama za mabadiliko chanya, lakini wengine wanalipa hizo gharama kama kutafuta maarifa kuambatana na watu sahihi, matumizi mazuri ya muda lakini hawatumii ipasavyo maarifa waliyonayo kuwaletea mabadiliko chanya. Ukisoma hiki kitabu utapata nyenzo zote sahihi za kukuwezesha kutenda ipasavyo kwa ajili ya mabadiliko chanya.

Mara zote waliotayari kulipia gharama za mabadiliko chanya na kufanyia kazi maarifa haya ndio wanaozidi kuona mabadiliko chanya katika maisha yao.

Ndani ya kitabu nimeeleza 

  1. Maana halisi ya mabadiliko,
  2. Aina za  mabadiliko chanya na hasi,
  3. Utambuzi wa mwanadamu aliyekumbwa na Roho, Nafsi na mwili ili uweze kujua Sehemu sahihi ya kuanza kufanyia kazi kwa ajili ya ustawi wa mabadiliko chanya,
  4. Mbinu za msingi kukuletea mabadiliko chanya,
  5. Namna maarifa yatakavyokuwa nuru kukuletea mabadiliko chanya,
  6. Hatua za kufuata kukuletea mabadiliko chanya.
  7. Kujitathimini.

Pamoja na mtazamo wa mwandishi kuhusu Mafanikio na mabadiliko chanya.

Usiache kupambanua maisha yako kwa asilimia mia kwa ajili ya ustawi wa mabadiliko chanya katika maisha yako.

Unaposoma kitabu hiki utagundua kwamba, mwandishi anaweka msingi na nyenzo halisi za mabadiliko chanya na yenye uhakika wa maisha ya kesho yetu.


Recommended for you

Ushindi katika hali ngumu
Ushindi katika hali ngumu
TZS 7,000 TZS 6,500
View options
Mbinu rahisi za kuandika kitabu
Mbinu rahisi za kuandika kitabu
TZS 3,999
View options
Inuka Tena
Inuka Tena
TZS 7,000 TZS 4,999
View options

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.