Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Maendeleo binafsi
  • Nguvu ya Fikra

Nguvu ya Fikra

TZS 10,000  TZS 6,999

Paperback eBook
Add to cart  

Hakuna kitu chenye nguvu duniani kinachoweza kubadili maisha ya mwanadamu kama fikra; Fikra ni chimbo la mabadiliko, fikra ndio mwanzo wa maendeleo.  Fikra iliyonyooka inaweza kubadili uwanja wa vita kuwa uwanja wa amani, fikra iliyonyooka inaweza kufanya paradiso ikashuka duniani.

Kwanini nasema hivi? Kwa sababu tangu nianze kujifunza elimu ya maendeleo binafsi nimegundua kuwa mabadiliko yoyote chanya iwe kwa mtu binafsi au jamii yanaletwa na fikra.  Wote waliowahi kufanya mabadiliko makubwa na chanya kwao binafsi au kwa jamii walitumia NGUVU YA FIKRA zao na ndipo wakapata matokeo hayo makubwa.

Hebu jiulize wewe unatumiaje fikra zako? Dennis Mpagaze aliwahi kusema fikra zetu zimevaa nepi, uongozi wetu umevaa nepi, wasomi wetu wamevaa nepi, na taifa letu limevaa nepi..

Akiwa na maana ya kwamba fikra zetu bado ni changa, tunashindwa kutumia nguvu ya fikra zetu kufanya mabadiliko, kiasi ya kwamba kila kitu tunategemea kufanyiwa.


Recommended for you

7 powers of the Mind - Nguvu 7 za Akili
7 powers of the Mind - Nguvu 7 za Akili
TZS 6,999
View options
Tanuri la Furaha
Tanuri la Furaha
TZS 8,999
View options
Ushindi katika hali ngumu
Ushindi katika hali ngumu
TZS 7,000 TZS 6,500
View options
Ushauri wa Afya ya Akili
Ushauri wa Afya ya Akili
TZS 7,500
View options
Usiishie Njiani
Usiishie Njiani
TZS 10,000
View options

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.