Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Books
  • Swahili books
  • Maendeleo binafsi
  • Qualifications & Connection

Qualifications & Connection

  5,000.00 TZS
Add to cart  

Je, Umewahi kujiuliza kwanini watu wenye sifa ndogo wakati mwingine wanafanikiwa zaidi kukiko wenye sifa kubwa? Siri haipo kwenye vyeti pekee, bali kwenye nguvu ya Connection.

Katika kitabu cha "Qualifications & Connection" Mwandishi Samwel Kisai anachambua jinsi mahusiano yanavyoweza kuwa daraja au kizuizi cha sifa ulizonazo. Mara nyingi, tabia zetu na jinsi tunavyohusiana na watu ndivyo vinavyoamua THAMANI ya taaluma zetu.

Kitabu hiki kitakufundisha jinsi ya kulinda sifa zako ili usizizuie kwa kukosa stadi za kijamii, na jinsi ya kutumia mahusiano kama nyenzo ya kupandisha THAMANI yako.

Usikubali sifa zako zifie kwenye makaratasi. Jifunze Sanaa ya kuunganishwa na watu ili ufungue milango ambayo elimu pekee haiwezi kuifungua. Hiki ni kitabu muhimu kwa kiongozi, mtaaluma, na MTU yeyote anayetaka kupiga hatua kubwa katika karne 21


Others Also Bought

Chochea Kipaji Chako
Chochea Kipaji Chako
5,000.00 TZS 4,500.00 TZS
Umezaliwa kufanikiwa
Umezaliwa kufanikiwa
10,000.00 TZS

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Blog
  • Support
DL Bookstore © 2026. All rights reserved.