Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Maendeleo binafsi
  • SIRI YA BINADAMU KUISHI MIAKA MINGI: Nguzo 72 Zinazoshikilia Uhai Wako

SIRI YA BINADAMU KUISHI MIAKA MINGI: Nguzo 72 Zinazoshikilia Uhai Wako

TZS 0
Not available  

Katika kitabu hiki, Siri ya Binadamu Kuishi Miaka Mingi: Nguzo 72 Zinazoshikilia Uhai Wako, ametumia uzoefu wa umri wake, uandishi na usomaji wa vitabu na machapisho mengine kuwaandikia Wosia binadamu kuhusu jinsi ya kuishi miaka 80-100.

Kitabu hiki kimezingatia mapinduzi ya Sayansi na Teknolojia, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Matibabu na uelewa uliopo duniani kuhusu elimu mpya ya kumwezesha binadamu kuishi miaka mingi.Ni kitabu cha aina yake ambacho kila mwanadamu anayependa kuishi miaka mingi anapaswa kukimiliki, kukisoma na kukirejea mara kwa mara.Siri ya Binadamu Kuishi Miaka Mingi iko ndani ya kitabu hiki.

Kwa hiyo, ni muhimu ukisome ili uweze kuigundua. Uhai ulionao leo ni zawadi kuu kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Jukumu lako ni kufanya uamuzi wa kuutunza (uhai huo) kwa kipindi kirefu kadiri inavyowezekana au kwa kipindi kifupi. Si jukumu lake, ni jukumu lako. Ukipewa zawadi na mtu anayekuthamini au anayekupenda, ni jukumu lako kuitunza vizuri ili iweze kukufaa kwa kipindi kirefu au kutoitunza na matokeo yake utaifaidi kwa kipindi kifupi.

Hali ndivyo ilivyo kwa zawadi ya uhai tuliyopewa na Mungu.Kila mtu anapenda kuishi miaka mingi na iwe ya furaha, isiwe ya dhiki, shida na afya mbaya kwa kipindi kirefu. Lakini, hayo ni matarajio na matumaini tu.Pamoja na kujitahidi kutekeleza Nguzo hizo, endelea Kumtegemea na Kumwomba msaada Mungu. Bila yeye huwezi kitu. Kwake hakuna lisilowezekana.


Others Also Bought

Kuishi kama Tai
Kuishi kama Tai
TZS 7,000
Add to cart
Kuishi kama Mchwa: Njia ya Mkato ya Kufanikiwa
Kuishi kama Mchwa: Njia ya Mkato ya Kufanikiwa
TZS 7,000
Add to cart
Mambo 7 usiyoyajua kuhusu dhambi
Mambo 7 usiyoyajua kuhusu dhambi
TZS 4,999 TZS 1,500
Add to cart

Cart

Cart is empty.

Log in

Incorrect password.




Forgot password?
Create an account
Login to existing account
My orders
My reviews
My details
Log out
  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.