Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
Kuishi kama Mchwa: Njia ya Mkato ya Kufanikiwa
Biblia imeamua kumtumia mchwa kama mfano kwasababu moja kubwa; mchwa yeye ni alama ya kufanya kazi kwa bidii. Kutoka kwa mchwa tunaweza kupata hekima ya kufanikiwa katika maisha ya kufanya kazi.
Kanuni ya Mungu ya kutubariki ipo katika kufanya kazi, Mungu hubariki kazi ya mikono yetu. Kufanya kazi ni sanaa unayoweza kujifunza na ukaboresha maisha yako. Kitabu hiki kitakupa hamasa kubwa kwa kukufundisha kanuni mbalimbali za kufanya kazi toka kwa kiumbe mdogo mwenye akilini nyingi aitwaye mchwa. Hakika kitabadilisha mtazamo wako juu ya kufanya kazi.