Upekee wako Utajiri wako
Kitabu hiki kimelenga kumsaidia mtu kujua uwezo aliokuwa nao unaoweza kumpatia nafasi ya kukua, kustawi na kufanikiwa kutokana na uhusiano aliyokuwa nao na Muumba wake.
Pia vitu vya kuzingatia ili huo uwezo ufanye kazi kwa ubora zaidi.
Others Also Bought
Your uniqueness Your Wealth
2,999 TZS
Chochea Kipaji Chako
Usijizuie kufanikiwa
10,000 TZS