Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
Usikate Tamaa, Lipo Tumaini
"Matumaini ni Imani ya kwamba, pamoja na mambo yote kuwa mabaya bado yanaweza kugeuka na kuwa mazuri."
Hakuna ubishi kwamba maisha yamejaa changamoto nyingi za kutufanya tujikute tunapoteza matumaini tuliy- okuwa nayo na kukata tamaa. Haijalishi unapitia nini au hali yako ikoje, Ni marufuku kukata tamaa.Unaruhusiwa kupiga Mayowe, Unaruhusiwa Kulia, Lakini Hauruhusiwi kabisa Kukata Tamaa.
Katika Maisha yaliyojaa misukosuko ya kila aina. Matumaini yana Nguvu ya kutugeuza kutoka kuwa wahanga na kuwa washindi katika maisha.
Kitabu hiki kimeandikwa ili kuwapa watu matumaini katika nyakati za kupotezakwao matumaini, kuvunjika moyo na kukata taama kwaajili ya mambo magumu wanayopitiana kukabiliana nayo
"Siri ya maisha ni kuhakikisha wakati wote mwali wa matumaini unaendelea kuwaka bila kuzima."