Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Maendeleo binafsi
  • Wewe ni nani?

Wewe ni nani?

TZS 5,000
Add to cart  

Kila mtu hapa duniani aliumbwa kwa kusudi fulani, kila mmoja kuna kazi alipewa kabla hajazaliwa ambayo anapaswa kuifanya kabla ya kifo chake. Kila mmoja ana sifa fulani ya kipekee aliyoumbwa nayo ambayo katika hiyo Mungu hujidhihirisha katika ulimwengu huu na kujinyakulia utukufu.

Ndani yako kuna hazina kubwa iliyositirika, hazina ambayo ili kuijua lazima umjue kwanza aliyekupa hazina hiyo ambaye ni Mwenyezi Mungu. Hazina hiyo iliyopo ndani yako haipo kwa ajili ya faida yako wewe mwenyewe bali iliwekwa kwako ikawe faida kwa wengine, iliwekwa kwako ili kuongeza thamani katika maisha ya watu na dunia kwa ujumla.

Jambo la kusikitisha watu wengi tunaishi pasipo kutambua hazina hiyo matokeo yake hata wale waliowekwa karibu yetu ili hazina hiyo iwasaidie hawapati kitu. Ni heri kutokuzaliwa kabisa kuliko kuishi au kufa bila kujua au kutimiza kusudi la mtu kuletwa duniani


Others Also Bought

Mwingine sio wewe
Mwingine sio wewe
TZS 5,000
Add to cart
Chochea Kipaji Chako
Chochea Kipaji Chako
TZS 5,000 TZS 4,500
Add to cart
Kwanini Nimezaliwa?
Kwanini Nimezaliwa?
TZS 10,000
Add to cart

Cart

Cart is empty.

Log in

Incorrect password.




Forgot password?
Create an account
Login to existing account
My orders
My reviews
My details
Log out
  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.