-20%
New
Njia ya umahiri
()
30-day lowest price:
Downloadable file
How to buy
AuthorDerick Daniel Sungi
Pages61
LanguageSwahili
Kitabu hiki ni mwongozo kwa wanaume wanaotaka kujikomboa kutoka kuangalia porn na kujichua. Kwa kutumia mbinu rahisi za kisaikolojia, kinakusaidia kuelewa jinsi akili na mwili wako unavyofanya kazi na jinsi ya kujenga nidhamu ya kweli.
Ndani ya kitabu hiki utajifunza:
Mbinu za kudhibiti hisia zako na mwili wako
Jinsi ya kujenga kujiamini na nidhamu binafsi
Kuelewa nini kinasababisha tabia hizi na jinsi ya kuziacha
Njia ya afya bora na mahusiano yenye afya
Kitabu hiki ni kwa ajili ya elimu tu. Kama una tatizo la kiafya, tafadhali muone daktari.
Share this book and earn 10%
The author listed this title in our affiliate program. Join the affiliate program to get your own link and earn 10% of every sale you refer.
Others Also Bought
Sanaa ya utongozaji
5,000.00 TZS
Uchumba Kuelekea Ndoa Takatifu
3,000.00 TZS
Marriage Is Dilemma
30,000.00 TZS