Customer database
Katika ulimwengu wa biashara wa kisasa, taarifa za mteja zimekuwa msingi wa mafanikio ya muda mrefu. Kitabu hiki CUSTOMER DATABASE - kinachambua kwa kina jinsi ya kukusanya, kuhifadhi na kutumia taarifa za wateja kwa Ajili ya Maendeleo na ukuzaji wa biashara kila siku.
Kwa Lugha rahisi,Mtunzi na mwandishi wa kitabu hiki anakuonyesha jinsi Taarifa za mteja zinavyoweza kusaidia katika:
- Kuboresha huduma
- Kuweka mikakati ya masoko.
- Kukuza mauzo
Kitabu hiki, ni nyenzo ya msingi kwa wafanyabiashara, wakurugenzi wa masoko, na wajasiriamali wanaotaka kukuza biashara zao kwa kutumia ujuzi ,mbinu na maarifa ya kisasa.
Kupuuza Kuhifadhi Taarifa za Wateja Ni kudumaza biashara yako na mwishowe Kufa kabisa.
Others Also Bought
Ijue Biashara kwa Kina
Tumia Fursa Tengeneza Biashara
FURSA, UTASHI NA UHURU WA FEDHA
TZS 15,000