New
Elimu ya Fedha: Mwongozo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu
()
30-day lowest price:
Downloadable file
How to buy
AuthorDr. Tobias Swai & CPA. CFE. Lucy Mrikaria
Pages84
LanguageSwahili
Kitabu hiki ni mwongozo unaolenga kuwawezesha wanafunzi wa elimu ya juu kupata maarifa na ujuzi wa kusimamia fedha kwa ufanisi na kufanya maamuzi sahihi ya kifedha wakati wa masomo na baada ya kuhitimu.
Kupitia kitabu hiki, msomaji atajifunza umuhimu wa fedha katika maisha ya chuoni, kuweka malengo ya kifedha, kuelewa mfumo wa fedha, kupanga bajeti na kuweka akiba. Maarifa haya yatamwezesha mwanachuo kuishi kwa nidhamu ya kifedha, kujitegemea kiuchumi na kujiandaa vyema kwa maisha baada ya chuo, kwa msingi wa mafanikio endelevu ya kifedha na kijamii.
Others Also Bought
Ijue Elimu ya Fedha
Endesha Biashara kwa Faida
9,999.00 TZS