Hatua za Kukuza Biashara yako na Kupata Faida Maradufu
Kitabu hiki kimeandaliwa mahususi kwa ajili ya wafanyabiashara na wajasiriamali wa aina zote, chenye mbinu na mikakati iliyothibitishwa katika kukuza biashara wakati wote wa utendaji. Kama mfanyabiashara ama mjasiriamali unashauriwa kuyazingatia yaliyomo humu ili uwe na uhakika wa kuikuza biashara yako na kupata faida maradufu kutokana na ukweli kwamba mbinu zilizoorodheshwa humu zimeshahakikishwa kwa vitendo na zimeweza kuwasaidia wafanyabiashara na wajasiriamali wengi katika kukuza biashara zao.
Others Also Bought
Tumia Fursa Tengeneza Biashara