Jenga Kampuni
Downloadable file
How to buy
Muongozo wa kujenga biashara imara yenye mafanikio na endelevu nchini Tanzania ,kitabu hiki ni cha kimkakati na kiutendaji zaidi,kimewalenga wajasiriamali wadogo wanaotaka kuinuka,na hata wajasiriamali wakubwa wanaotaka kukua zaidi.
Pia kimewalenga watu wanaotaka na kuhitaji kuanzisha,au kuendeleza kampuni,kwa sababu kimetoa muongozo mzima wa uendeshaji wa kampuni,lakini pia kwa wafanya biashara wakubwa na wadogo wanaotaka kuwa na ujuzi zaidi katika utendaji kazi wa mfumo wa biashara hiki kitabu ni kwa ajili yenu ,kitabu kina case studies halisi,ivyo kiko practically zaidi.