Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Learn
  • Affiliates
  • Blog
  • Support
  • Sign in
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Afya na ustawi
    • Dini
    • Fasihi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Maendeleo binafsi
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
    • Wasifu na Tawasifu
  • English books
    • Business and finance
    • Health and wellness
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Free books
  • Free previews
  • Books
  • Swahili books
  • Uchumi na biashara
  • Nguvu ya Uwekezaji Kupitia UTT-AMIS PLC

Nguvu ya Uwekezaji Kupitia UTT-AMIS PLC

  10,000.00 TZS
()
30-day lowest price:
Add to cart
Downloadable file How to buy

Je, unahitaji kujenga nidhamu ya fedha, kusimamia pesa zako, kuweka akiba, kuwekeza na kuanza safari yako ya kuufikia uhuru wa kifedha?

Nguvu ya Uwekezaji Kupitia UTT - AMIS PLC ni kitabu muhimu kitakachokupa maarifa bora na muongozo rahisi wa kupanga bajeti binafsi, kusimamia fedha zako kwa ufanisi na kuelewa fursa za uwekezaji kupitia mifuko sita ya UTT-AMIS PLC.

Kitabu hiki kitakusaidia kubadili mtazamo wako kuhusu fedha, kujenga utamaduni wa kuweka akiba na kufanya maamuzi sahihi ya kifedha kwa ajili ya maisha bora ya baadae.

Usisubiri mpaka kipato chako kiongezeke; anza kwa kutenga sehemu ya kipato chako ulichonacho leo kwa kufanya uwekezaji. Elimu ya fedha ni zawadi inayoweza kubadili maisha yako. Pata nakala yako sasa, kisome kitabu hiki zaidi ya mara moja na maarifa utakayoyapa unapaswa kuyaweka kwenye vitendo kwa kusudi la kuufikia uhuru wako wa kifedha mapema.


Others Also Bought

Hisa, Hatifungani, Vipande: Uwekezaji kwa ukuaji wa mtaji na kipato endelevu
Hisa, Hatifungani, Vipande: Uwekezaji kwa ukuaji wa mtaji na kipato endelevu
9,999.00 TZS
Add to cart
Uwekezaji katika Hisa, Hatifungani na Vipande
Uwekezaji katika Hisa, Hatifungani na Vipande
10,000.00 TZS
Add to cart
Endesha Biashara kwa Faida
Endesha Biashara kwa Faida
9,999.00 TZS
Add to cart

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • Privacy policy
  • Return policy
  • Cookies policy
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Affiliates
  • Blog
  • Support
  • Sign in
DL Bookstore © 2026. All rights reserved | Made with ❤️ in Tanzania.