Pesa ni Nishati
Downloadable file
How to buy
Pesa ni Nishati ni kitabu kinachokusaidia kubadilisha mtazamo wako kuhusu pesa, utajiri na mafanikio ya kifedha.
Kinaeleza jinsi fikra, imani, tabia na maamuzi yako yanavyoweza kuathiri safari yako ya kifedha. Kupitia mifano na mazoezi ya vitendo, utajifunza kutengeneza thamani, kudhibiti matumizi, kujenga nidhamu ya fedha, kuvutia fursa na kuanza kujenga utajiri endelevu.