Pata Ofa ya Kitabu cha Jikomboe Kiuchumi na Ujasiriamali

JIKOMBOE KIUCHUMI NA UJASIRIAMALI ni kitabu kinacho lenga kuinua uchumi wa kila mtanzania, kupitia Ujasiriamali, kimeelezea kanuni 12 za Ujasiriamali, Tanzania tuna wajasirimali wengi ila asilimia kubwa wanakutana na changamoto sababu hawajafunza kanuni.
Kimeelezea pia namna ya kupata mtaji na kukuza mtaji, kuanzisha biashara sio kazi ni kuwa na mtaji, pia kimejikita kukusaidia namana ya kuona fursa na kuzitumia Vizuri, hili ujikomboe kiuchumi lazima ujue kucheza na fursa.
Utapata nafsi ya kujifunza kanuni za utengenezaji wa bidhaa za viwandani, sabuni, mishumaa, karanga na ubuyu, kimelenga pia kukusaidia namna ya kuandika mpanga biashara. Mwisho ushauri utakao kusaidia kutoka kwa mwandishi.
Kitabu kimeandikwa na muandishi Linus S. Siwiti na kinapatikana kama ebook. Bei ya ofa ni Tsh. 6999 na tumia kuponi hii UCHUMI