Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Courses
  • Blog
  • Support

Siri 30 za kuwa mwandishi bora wa vitabu

July 11, 2022 at 3:10 pm,


Siri 30 za kuwa mwandishi bora wa vitabu ni kozi maalumu iliyoandaliwa kiustadi na DaudiPages kukupa wewe maarifa na ujuzi muhimu kwenye uandishi wa vitabu. Baada ya kusoma kozi hii, utakuwa umejifunza mambo yafuatayo;


  1. Kuandika kitabu kizuri cha ndoto yako.
  2. Kujua namna ya kufikisha kitabu kwa wasomaji wako.
  3. Kufanya uzinduzi wa kitabu na kupanga bei ya kitabu.
  4. Kukuza jukwaa lako kama mwandishi.
  5. Kupanga bajeti ya kutoa kitabu na kukitoa kitabu chako kwa bajeti finyu utakayokuwa nayo.
  6. Utajua jinsi ya kutoa eBook bora kwa wasomaji kwa kuzingatia vitu muhimu
  7. Utajua jinsi ya kutengeneza launch team unapotaka kufanya uzinduzi wa kitabu

Machache kuhusu kozi hii

  • Hii ni kozi ya siku 8. Siku 6 za kusoma, siku 1 ya reflection na siku nyingine 1 ya mtihani.
  • Nitakupa cheti cha kuhitimu baada ya kumaliza kozi. Kozi itakuwa delivered kwa mfumo wa mail-based system. Utahitaji kuwa na email na nitakupatia password. Uta sign in mara moja tu kwa siku ya kwanza. Siku zinazofuata huhitaji ku sign in tena
  • Kwenye email yako utapata mada kwenye mfumo wa maandishi na audios.
  • Utachagua kusikiliza ama kusoma. Kila mwishoni mwa mada kuna zoezi la kukuchangamsha.

Kozi ilishaanza tayari. Jisajili hapa

Una maswali kuhusu kozi hii? BOFYA HAPA kwa msaada zaidi



Recent Posts

  • Mapitio ya Kitabu: Mimi Ashraf — Riwaya Inayokupeleka Ndani ya Nafsi ya Mwanadamu
    3 Jun, 2026
  • Vitabu 6 Bora vya Uwekezaji na Uhuru wa Kifedha kwa Kiswahili
    20 May, 2026
  • Vitabu Bora vya Biashara Kwa Kiswahili PDF
    18 May, 2026
  • Nukuu 24 Bora kutoka kitabu cha Hisa, Hatifungani, Vipande
    8 Apr, 2026
  • Book review: Hisa, Hatifungani, Vipande - Uwekezaji kwa Ukuaji wa Mtaji na Kipato Endelevu
    6 Apr, 2026
  • Siku ya Wanawake: Sherehekea Siku Yako na Maarifa
    7 Mar, 2026
  • Unahitaji nini ili uuza kitabu chako dlbookstore.com
    2 Mar, 2026

Categories

  • Book Recommendations
  • Book Reviews
  • Help & Support
  • Offers and discounts
  • Reading Habits & Tips
  • Writing, Publishing & Author Support

Start selling your book or course on our website — reach more readers

You will enjoy high book visibility, get paid on time and receive a monthly sales report straight to your inbox.

Start selling →

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Blog
  • Support
DL Bookstore © 2026. All rights reserved | Made with ❤️ in Tanzania.