Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support

[Hadithi fupi] Alisema nataka lakini...

November 4, 2022 at 4:04 pm,


Kama siku mbili tatu zilizopita kuna mzee mmoja hapa jirani na kwangu alimwona kijana mmoja anatembea huku macho kodo kwenye simu yake

Mzee akahamaki "hawa vijana na siku hizi hovyo kabisa, badala atembee anaangalia mbele yeye yuko busy na simu"


Yule kijana alipokuwa kama anampita yule mzee akasimama na kumsalimia

"mzee wangu shikamoo"

"marhabaa, hujambo kijana"

"sijambo"

Akiwa na donge kooni akamuulize yule kijana, "mbona macho yako kwenye simu sana?"

Kijana akasema "nasoma kitabu kwenye simu"

"Aaarghh, kwenye simu? ndo unasomaje?" akauliza

Kijana akasema, "siku hizi kuna vitabu ambavyo unasoma tu kwenye simu tunaita ebooks, soge karibu nikuoneshe"

Akitikisa kichwa, mzee alisema nataka lakini...akaondoka bila kumalizia

__

Ndio  ukiwa na simu yako au laptop yako unaweza kusoma vitabu bila stress. Nimekuandalia orodha ya vitabu kadhaa vya kuanza kusoma wikiendi hii.

NAANDIKAJE KITABU? |  Kitabu hiki ni toleo lililoboreshwa la kitabu cha Mbinu Rahisi Za Kuandika Kitabu. Wakati nilipotoa kitabu cha Mbinu Rahisi Za Kuandika Kitabu nililenga kuwasaidia watu wanaotaka kuingia kwenye uandishi wa vitabu lakini hawana watu wa kushika mkono ili kufanikisha ndoto zao. Lengo bado ni lile lile isipokuwa nimeboresha zaidi na kufanya marekebisho fulani fulani baada ya kupokea maoni kutoka kwa wasomaji wengi waliosoma kitabu. Katika toleo hilo jipya, nimeongeza vitu vingi ambavyo naamini, unapokisoma kitabu hiki utatoka ukiwa na nguvu mpya ya kuandika kitabu chako na hatimaye kutimiza ndoto yako ya kuwa mwandishi wa kitabu. Naandikaje kitabu? Ni swali ambalo nimejibu katika kurasa zinazofuata. Mimi naamini, kuandika kitabu ni ujuzi ambao kila mtu anawez kujifunza. Anza kusoma! > https://selar.co/lo21

MUDA NA WAZAZI | Wazazi ni dhahabu. Wazazi ni nguzo ya mafundisho ya kila kijana. Hawa ndio walimu wa kwanza katika maisha yako. Kupitia Muda na wazazi wako utajifunza jinsi ya kutambua nyakati mbalimbali katika maisha yako. Wengi wameanza kuwasahau, kuwadharau na kutojifunza kutoka katika maisha yao. Je, unatambua nafasi ya kila mmoja katika familia? Kitu gani kimekuwa kikikutenganisha na mzazi wako?. Baraka, Furaha na Amani vimejificha kupitia muda na wazazi wako. Kupitia Muda na Wazazi utajifunza jinsi ya kutambua nafasi ya kila mmoja katika familia na kutoka hatua moja hadi nyingine. Utajifunza jinsi ya kuwa kijana anayeheshimu na kuthamini kila hatua anavyopitia. Wekeza juu ya wazazi wako. Usikubali kufanya makosa yanayowaumiza wengi. Kubali kubadilika na uwe mwepesi wa kujifunza. Anza kusoma! > https://selar.co/jvxc

TAKE CHARGE - A Guide to Unleash your Potential | aking charge of your life is an important aspect that sustains individual development. It helps you to control your life and steer it in the desired direction. Unfortunately, many people do not take charge to overcome their shortcomings and this tendency holds them back from realizing their full potential. If you read this book thoroughly, you will develop an understanding of how to overcome your shortcomings in different areas and by applying the strategies provided. Read now > https://selar.co/env7

INTENTIONS - A Novel from Tanzania | Ntayo (the main character) is a visionary boy living in hard and chaotic life situations whose intentions are to liberate himself and family from the storms of poverty like other people wish to do in their lives. His sister called Mwamini, works in a factory and she is the one who fixes up all school costs for Ntayo, between the community that lost faith in education by seeing thousands of unemployed youths stamping all over streets joblessly. Read now > https://selar.co/hg39

MFUKO WA DHARURA | Jifunze kuhusu fedha, kuweka bajeti, fedhaza majanga na dharura. Kitabu hiki ni msaidizi wako wa kufahamu mambo ya fedha. Anza kusoma! | https://selar.co/oijm

Angalia vitabu zaidi hapa. Karibu kwa maoni yako kwenye comments.



Recent Posts

  • Umechoka na Minyama Uzembe? Suluhisho la Kupungua Uzito Limepatikana!
    17 Apr, 2025
  • Vitabu Bora vya Pasaka vya Kukuimarisha Kiroho – Vinapatikana Sasa DL Bookstore
    11 Apr, 2025
  • 4 Benefits of Selling Your Book Through DL Bookstore
    20 Mar, 2025
  • Download Entrepreneurship Books (PDF) in Swahili
    10 Feb, 2025
  • Download Nine (9) Must-Read Books for Girls and Women 📚✨
    4 Feb, 2025
  • A Tanzanian Platform for Selling Books Online
    4 Feb, 2025
  • Jinsi ya Kuandika Caption Inayochochea Mauzo ya Kitabu Chako
    23 Nov, 2024

selling_book-1.png

Enroll in 100% free courses

100% free courses on writing, publishing, and marketing of books. Time to dive in!

Start learning →

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.