Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Learn
  • Blog
  • Support
  • Sign in
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Afya na ustawi
    • Dini
    • Fasihi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Maendeleo binafsi
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
    • Wasifu na Tawasifu
  • English books
    • Business and finance
    • Health and wellness
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Free books
  • Free previews
  • Books
  • Swahili books
  • Afya na ustawi
  • Furahia Safari Yako Ya Kupunguza Uzito

Furahia Safari Yako Ya Kupunguza Uzito

  10,000.00 TZS
()
30-day lowest price:
Add to cart
Downloadable file How to buy

Je, umewahi kuanza safari ya kupunguza uzito ukiwa na matumaini makubwa, lakini baada ya muda ukakata tamaa kwa sababu matokeo hayakuonekana haraka? Au umejaribu aina mbalimbali za diet, kufunga kula au kuacha baadhi ya vyakula, lakini baadaye ukarudi kwenye uzito uliokuwa nao awali?

“Furahia Safari Yako ya Kupunguza Uzito” ni mwongozo wa lishe na usimamizi wa uzito uliotengenezwa kukupa uelewa wa msingi na wa vitendo kuhusu namna ya kupunguza na kusimamia uzito kwa njia endelevu, bila kutegemea diet kali au kujinyima chakula kupita kiasi.

Katika ebook hii, utajifunza sababu mbalimbali zinazoweza kuchangia kuongezeka kwa uzito, tofauti kati ya kupunguza uzito na kupunguza mafuta mwilini, pamoja na namna mwili unavyotumia, kuhifadhi na kusawazisha nishati. Pia utapata uelewa kuhusu kalori, protini, wanga, mafuta yenye afya, vitamini, madini na nyuzi-lishe (fiber)

Mwongozo huu pia unakufundisha namna ya kutumia Kanuni ya Sahani kupanga milo yenye uwiano, kudhibiti vipimo vya chakula, kuchagua vyakula vyenye virutubisho, kupunguza vinywaji vyenye sukari na kujenga mfumo wa ulaji unaoweza kuendana na maisha yako ya kila siku.

Utapata pia elimu kuhusu diet kali (crash diets), changamoto zinazoweza kujitokeza unapofuata njia zisizo endelevu, umuhimu wa usingizi wa kutosha, unywaji wa maji, shughuli za kimwili.

Aidha, ebook hii inajumuisha Ratiba ya Milo ya Wiki Nne (4-Week Meal Plan) pamoja na mwongozo wa smoothies, ili kukupa mfano wa jinsi ya kutumia maarifa haya katika maisha

Lengo la kitabu hiki si kukufanya uishi kwa njaa au kujinyima bila chakula unachokipenda. Ni kukusaidia kuelewa mwili wako, .

Share this book and earn 10%

The author listed this title in our affiliate program. Join the affiliate program to get your own link and earn 10% of every sale you refer.


Others Also Bought

Mwongozo wa kupungua uzito kwa njia salama na ulaji sahihi
Mwongozo wa kupungua uzito kwa njia salama na ulaji sahihi
30,000.00 TZS
Add to cart
Aleji ya Chakula na Kutostahimili Chakula
Aleji ya Chakula na Kutostahimili Chakula
10,000.00 TZS
Add to cart
Afya Njema
Afya Njema
4,000.00 TZS
Add to cart

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Blog
  • Support
  • Sign in
DL Bookstore © 2026. All rights reserved | Made with ❤️ in Tanzania.