Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • Sign in
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Afya na ustawi
    • Dini
    • Fasihi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Maendeleo binafsi
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
    • Wasifu na Tawasifu
  • English books
    • Business and finance
    • Health and wellness
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Books
  • Swahili books
  • Dini
  • Imani Isiyoteteleka

Imani Isiyoteteleka

  10,000.00 TZS
Add to cart
Downloadable file How to buy

KWA NINI KITABU HIKI?

Imani Isiyoteteleka ni kitabu kwa mtu anayetamani kumwamini Mungu kwa undani zaidi, hata wakati maisha hayatoi majibu anayoyatarajia.

Kupitia sura 20, kitabu hiki kinakusaidia kuelewa imani ni nini, jinsi ya kuijenga, kuitunza na kuendelea kusimama nayo unapokutana na hofu, kuchelewa kwa majibu, majaribu, upweke, kukatishwa tamaa au kupingwa na watu.

Unapokisoma kitabu hiki, utajifunza:

  • Kumwamini Mungu hata usipojua kesho yako.
  • Kuendelea kuwa na imani wakati majibu ya maombi yanapochelewa.
  • Kukabiliana na hofu na nyakati ngumu kwa imani.
  • Kujenga maisha yenye maombi, subira na kumtegemea Mungu.
  • Kusimama katika Neno na ahadi za Mungu unapopitia changamoto.
  • Kutokata tamaa unapopitia majaribu, upweke au kuanguka.
  • Kujenga imani inayokwenda pamoja na matendo, si maneno pekee.
  • Kujifunza kulinda imani yako dhidi ya mambo yanayoweza kuitikisa.
  • Na muhimu zaidi, kujifunza kuishi kwa imani kila siku na kumaliza safari ukiwa bado umesimama katika imani.

Hiki si kitabu cha kusoma tu ni mwongozo wa kukusaidia kusimama imara katika safari yako ya kumwamini Mungu.

"Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana." Waebrania 11:1


Others Also Bought

IMANI ILIYO HAI KATIKA ULIMWENGU WENYE KELELE
IMANI ILIYO HAI KATIKA ULIMWENGU WENYE KELELE
5,000.00 TZS 3,000.00 TZS
KRISTO Msingi Wa Imani Yetu
KRISTO Msingi Wa Imani Yetu
15,000.00 TZS
Safari ya Imani
Safari ya Imani
4,000.00 TZS
Sauti ya Imani
Sauti ya Imani
10,000.00 TZS

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Blog
  • Support
  • Sign in
DL Bookstore © 2026. All rights reserved | Made with ❤️ in Tanzania.