Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Books
  • Swahili books
  • Dini
  • Jifunze kudumu katika maombi

Jifunze kudumu katika maombi

  7,000 TZS
Add to cart  

Jifunze kudumu katika maombi ni ujumbe unaotokana na msisitizo mkubwa katika neno la Mungu juu ya maombi au kuomba kwa kila mkristo, akiwa kama mtu binafsi lakini pia akiwa kama mwakalishi wa ufalme wa Mungu hapa duniani.

Maombi au kuomba ni suala la msingi sana kwa kila mkristo kwani maombi hudhihirisha asili, uhai, nguvu na mamlaka ya mtu mkristo. Zaidi maombi au kuomba huthibitisha mahusiano ya karibu kabisa kati ya mtu aliyeokoka na Mungu.

Bila shaka kupitia kitabu hiki msomaji atapata kujifunza mambo muhimu na ya msingi sana kuhusiana na wajibu na fursa ya thamani kabisa ya kuomba anayopewa mtu yeyote yule aliyeokoka na kuishi maisha yenye kuongozwa na Roho Mtakatifu.


Others Also Bought

Maarifa juu ya maombi unayotakiwa kuomba
Maarifa juu ya maombi unayotakiwa kuomba
5,000 TZS
Nguvu ya Maombi ya Toba
Nguvu ya Maombi ya Toba
6,000 TZS

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Blog
  • Support
DL Bookstore © 2026. All rights reserved. | login