Nguvu ya Maombi ya Toba
Downloadable file
How to buy
Mwandishi wa kitabu cha Nguvu ya Maombi ya Toba ameeleza hatua kumi zinazokamilisha toba yako.
Mwandishi ameeleza aina mbali mbali za Toba kama vile Toba ya kurejesha majira, toba ya kusamehe dhambi. toba ya kurejesha utukufu wa Mungu mahali na aina nyingine nyingi amezielezea ndani ya kitabu.
Mwandishi ameeleza mambo kadha wa kadha ndani ya kitabu hiki yanayoweza kukusaidia na kubadilisha maisha yako.
Others Also Bought
Jifunze kudumu katika maombi
7,000.00 TZS
Ijue Nguvu ya Kufunga na Kuomba
2,000.00 TZS
Maarifa juu ya maombi unayotakiwa kuomba
Maombi Yaletato Mpenyo