Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Dini
  • Kusudi la maisha yako

Kusudi la maisha yako

TZS 10,000

Paperback eBook
Add to cart  

Upekee wa kila mwanadamu aliyekwisha kuishi hapa duniani, anayeishi sasa na atakayeishi baada ya sasa umethibitishwa kisayansi kwa kutumia alama za vidole.

Kila mtu ana alama za vidole za kipekee ambazo hazifanani na za mtu mwingine. Hata mapacha wa kufanana wanatofautiana katika alama za vidole.

Yawezekana ulizaliwa pasipo matarajio ya wazazi wako, na matarajio ya ulimwengu wote. Lakini haukuumbwa bila kusudi la pekee na Mungu. Uliumbwa uzae, uongezeke, utiishe, utawale na umiliki kwa namna iliyo ya kipekee. Uliumbwa kutimiza kusudi la kipekee kabisa, la Mungu.

Kwenye kitabu hiki, utafundishwa kwa Neno la Mungu, sababu ya wewe kuwa hapa duniani. Utajifunza kwamba, hakuna mtu aliyekuja hapa duniani kusindikiza wengine, au kusaidia wengine. Maana Mungu alipokuumba mtu kwa namna ya pekee, hakuwa anabahatisha.

Safari nami kwenye safari hii ya kujifunza, “Kusudi la Maisha Yako”


Recommended for you

Chochea Kipaji Chako
Chochea Kipaji Chako
TZS 5,000 TZS 4,500
View options
Shule ndani ya kusudi
Shule ndani ya kusudi
TZS 5,000
View options
Umeumbwa kwa kusudi
Umeumbwa kwa kusudi
TZS 5,000
View options
Usijidharau Ulizaliwa na Unaishi kwa Kusudi Maalumu
Usijidharau Ulizaliwa na Unaishi kwa Kusudi Maalumu
TZS 4,999
View options

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.