Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
Shule ndani ya kusudi
Je, ni kweli una kitu ndani yako na unashindwa uanzie wapi? Je, una ndoto kubwa na unashindwa namna ya kutimiza? Majibu yote ya maswali hayo na mengine yote ambayo yanakupa changamoto kuhusu kutimiza kusudi lako yapo ndani ya kitabu hiki.
Huu siyo wakati wa kuendelea kulalamika Tena wakati Mungu kaweka kitu kikubwa ndani yako. Baada ya kusoma kitabu hiki, nakuhakikishia kuwa utaenda kufanikiwa kutimiza ndoto zako ndani ya siku 365 tu.
Nakukaribisha Sasa kusoma kitabu hiki na neema ya Mungu ikuongoze Hadi kufikia mwisho wa kitabu hiki utakuwa tayari umejua namna ya kutembea katika kusudi ambalo Mungu ameweka ndani yako. Karibu sana na Mungu akutangulie.