Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
Mtu wa Thamani
MTU
WA THAMANI ni kitabu cha maendeleo binafsi ambacho kinaelezea mambo matano muhimu
ya kuzingatia ili kuwa mtu mwenye thamani kubwa katika eneo lolote, iwe katika
kazi au biashara, na namna ya kuishi ili kupata matokeo makubwa zaidi hata
katika mambo madogo madogo.
Kwenye kila kazi, taaluma au biashara yoyote kuna
watu wakuu (top people), watu wa kawaida (normal people), na watu wa level ya
chini.
Kitabu hiki kitakusaidia kuwa katika levels za juu
bila KUJALI unafanya nini. Utakuwa miongoni mwa watu wanaofanya vizuri zaidi
katika kazi au biashara.