Kwanini Baraka za Wokovu Hauzipokei Maishani Mwako
Kitabu hiki kinaeleza kwa kina kwa nini waamini wengi, licha ya kuokoka, bado wanakosa kuona baraka za wokovu katika maisha yao ya kila siku. Kinafundisha kuwa wokovu hauhusiani tu na maisha ya rohoni bali pia na maisha ya mwilini Kama, afya, ustawi, na mafanikio.
Kinaeleza umuhimu wa kumwelewa Yesu Kristo kama aliyeleta uzima wa rohoni na mwilini kupitia mwili na damu yake. Pia kinaonya juu ya kuchanganya neema na sheria, na jinsi hiyo inavyoweza kuzuia baraka kutimia.
Hatimaye, kitabu kinatoa mwongozo wa namna ya kuishi ndani ya Kristo, kushikilia agano jipya kwa imani, na kuona neno la Mungu likitimia kwa uhalisia maishani.
Recommended for you

Vita ya Baraka (The War of Blessings)

Kanuni za kufurahia wokovu
TZS 7,000

Yaishi Maisha Katika Wokovu
TZS 5,000