Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
Kanuni za kufurahia wokovu
Mimi na wewe tunapokuwa duniani tunakila sababu ya kufurahi kuishi nuruni mwa Bwana. Ni kweli changamoto zipo na Kila mmoja anachangamoto tofauti lakini katika yote Mungu ni mwaminifu kiasi Cha kutupa tumaini siku hizi za mwisho.
Najua umefika wakati unaona maisha magumu, mambo hayaendi, Kila unalojaribu kulifanya unaona linashindikana lakini hujachelewa bado. Hii ndio maana Mungu kanipa mafunuo haya nizungumze na wewe Kwa njia ya kitabu hiki kuwa bado unanafasi kubwa ya kuishi Kwa furaha siku zote.
Kitabu hiki ni mahususi kwajili yako na ninakuhakikishia baada ya kukisoma utaweza kuelewa mambo ya msingi zaidi ya kukufanya uwe na amani zaidi. Karibu ujifunze na Kwa neema ya Mungu hutokaa na huzuni Tena.