Mambo Muhimu kwa Mwalimu wa Biblia Unapoandaa Somo
Kabla ya kusimama na kufundisha somo lako mbele ya watu kuna maandilizi nyuma ya pazia ambayo ni lazima kuyafanya.
Ubora wako katika kufundisha somo lako ukiwa madhabahuni huchagizwa na yale maandalizi yako mazuri utayafanya. Kati ya hayo maandalizi muhimu kuyafanya ni kuandika ujumbe wako na kuupangilia vema.
Others Also Bought
Ifahamu Biblia Vizuri
10,000 TZS
Mafundisho awali ya Neno la Mungu
7,000 TZS