Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Dini
  • Mwamini Mungu

Mwamini Mungu

TZS 10,000
Add to cart  

Pasipo imani, haiwezekani kumpendeza Mungu, lakini imani hiyo ni lazima iwe na msingi thabiti kabisa kwenye ukweli unaopatikana katika NENO la Mungu. Imani isiyo tokana na msingi wa NENO la Mungu husababisha madhara makubwa sana kwa waamini na jamii inayowazunguka.

Undani wa msingi wa imani kwa Mungu ni kuamini kwamba “yeye (Mungu) yuko”. Tafsiri nyingine imeonyesha neno hili kuwa na maana kwamba “yeye ndiye” kama vile alivyojitambulisha alipokutana na Musa.

Mungu alimwambia Musa, “Ukawaambie NDIMI (maana yake yuko), amenituma kwenu”. Mungu alijitambulisha kama “Ndimi niliyeko”. Hivyo, kila anayemwamini Mungu ni lazima aweke mhimili wa imani yake kwenye uelewa kwamba Mungu “Ndiye aliyeko”.

“Ndimi niliyeko” ni utambulisho wa kwanza kabla ya “ndimi ninayefanya mambo kadhaa” na “ndimi ninayemiliki vitu kadhaa”. “Ndimi niliyeko” habadiliki kutokana na mambo yanayobadilika kama mazingira ya duniani. “Ndimi niliyeko” yuko hivyo hivyo na hatobadilika.

Usomapo kitabu hiki ni vizuri kabisa ukaoanisha yale utakayoyasoma na NENO linalopatika kwenye Biblia yako, na ukamshirikisha Roho Mtakatifu akupe ushuhuda juu katika yale yaliyoandikwa humu.


Others Also Bought

Mduara wa dhambi
Mduara wa dhambi
TZS 5,000 TZS 3,500
Add to cart
Mafundisho awali ya Neno la Mungu
Mafundisho awali ya Neno la Mungu
TZS 7,000
Add to cart
Utumishi Unaotimiza Mapenzi ya Mungu
Utumishi Unaotimiza Mapenzi ya Mungu
TZS 3,500 TZS 3,000
Add to cart

Cart

Cart is empty.

Log in

Incorrect password.




Forgot password?
Create an account
Login to existing account
My orders
My reviews
My details
Log out
  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2018 - 2025. All rights reserved.