Mwangaza wa akili ya Bikira Maria ni dira
Downloadable file
How to buy
Kitabu hiki kinakupa tafakari ya kinakuhusiana na nafasi ya Mama Bikira Maria katika safari ya ukombozi wa mwanadamu na pia katika Ukristo.
Na pia kitabu kinatuonyesha na kutuelimisha mambo mbalimbali yanayotusaidia kufikia usafi wa Roho zetu na kuwa na maisha ya utakatifu.
Others Also Bought
Kitabu cha Henoko Kilichokamilika
10,000.00 TZS
Usiyoyajua kuhusu Samsoni
4,999.00 TZS
Maombi ya Kushinda vita ya Kiroho
7,000.00 TZS
Kwa nini upo ulipo sasa?
5,000.00 TZS