Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
Kwa nini upo ulipo sasa?
Tupo katika karne ya 21 ambapo mambo yamekuwa yakienda kwa kasi katika nyanja zote za kidini, kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni. Na hii ni kwasababu ya mapinduzi na maendeleo ya ki-digitali (teknologia) kuzidi Zaidi katika karne hii. Na kupelekea watu kuwa na maswali mengi juu ya watu wanaowazunguka, hali wanazokumbana nazo na mazingira yanayowazunguka na kukosa majibu sahihi ya maswali yao.
Ni maamuzi sahihi pekee kwa wakati na majira sahihi ndiyo yatakayo kuongoza katika kuvuka na kufanikiwa katika nyanja zote ambazo kama mwanadamu unaishi ili kutimiza makusudi ambayo Mungu amekuweka hapa duniani. Moja kati ya maamuzi sahihi ni kuchukua hatua ya kupata nakala ya kitabu hiki na kusoma kwa kutafakari, Nina hakika utapata misingi ya kuanzia na hatua za kuchukua kuanza kutembea na kusonga mbele katika kuifikia hatima ya maisha yako kwa utukufu ukiwa hapa duniani.