Mwongozo wa mafundisho yote ya msingi katika Ukristo
Mwongozo wa mafundisho yote ya msingi katika Ukristo ni kitabu cha kipekee kabisa, msaada kwa wanafunzi wa theolojia vyuoni kwa sababu kimebeba kiini cha ufahamu unaokusudiwa kwa mwanafunzi wa Biblia baada ya kuhitimu kozi nyingi chuoni. Ni kitabu kilicho sheheni ufahamu mpana unaoelezwa kwa lugha nyepesi inayoweza kueleweka kwa kila mwanafunzi wa Biblia. Kitabu hiki kinafaa kwa kila mkristo bila kujali kiwango chake cha ukomavu au uchanga wa kiroho.
Ni kitabu cha kipekee sana cha kulisaidia kanisa kuzishinda imani mbalimbali za uongo kwa kutumia maandiko. Ni kitabu cha kuwasaidia wachungaji na waalimu makanisani kufundishia mafundisho ya kweli kwa kina sana kwa sababu mafundisho yote ya msingi katika imani ya ukristo yamechambuliwa kwa mtiririko mzuri na kufafanuliwa kwa kina.
Others Also Bought