Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Dini
  • Thoughts and Ways (Mawazo na Njia)

Thoughts and Ways (Mawazo na Njia)

TZS 7,000
Add to cart  

Mawazo na njia, ni maneno ambayo yametamkwa mara nyingi kwenye biblia na baadhi ya nyakati yakitoka kwenye kinywa cha Mungu mwenyewe. Mara kadhaa Mungu amekuwa akiwakumbusha watu wake kuhusu kuchukua tahadhari juu ya mawazo na njia zao.

Swali la msingi kujiuliza ni kwa nini Mungu asimamie sana katika eneo hilo? Ni kitu gani cha kukitilia mkazo katika mawazo na njia? Je, kuna uhusiano gani katika vitu hivi viwili kama anavyouliza Mungu mwenyewe katika kitabu cha Isaya 55:8-9, “Maana, Mwenyezi-Mungu asema hivi: 

“Mawazo yangu si kama mawazo yenu, wala njia zangu si kama njia zenu. Kama vile mbingu zilivyo mbali na dunia, ndivyo njia zangu zilivyo mbali na zenu, na mawazo yangu mbali na mawazo yenu.”


Others Also Bought

Utumishi Unaotimiza Mapenzi ya Mungu
Utumishi Unaotimiza Mapenzi ya Mungu
TZS 3,500 TZS 3,000
Add to cart
Yesu Akawafundisha, Akisema Heri
Yesu Akawafundisha, Akisema Heri
TZS 12,000
Add to cart
Eden University of Management (Swahili version)
Eden University of Management (Swahili version)
TZS 13,000
Add to cart

Cart

Cart is empty.

Log in

Incorrect password.




Forgot password?
Create an account
Login to existing account
My orders
My reviews
My details
Log out
  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.